TOYOTA CROWN – 2006 | CC 2490
$TOYOTA CROWN – 2006 | CC 2490
Gari safi na imara sana, linaendeshwa kwa uangalifu na liko kwenye hali nzuri kabisa.
✔️ Full Documents
✔️ AC Kali (Full AC)
✔️ Engine 2490cc yenye nguvu
✔️ Comfort kubwa na muonekano wa kifahari
Bei: TSh 13,800,000 tu
Kama unatafuta gari la uhakika, lenye hadhi na linalofaa kwa matumizi ya kila siku au biashara, hii ni nafasi yako.
Karibu sana kwa mawasiliano au kufika kuliona gari.