Product

NYUMBA KUBWA INAUZWA

BIL 1.3Tsh
No. 3
  • Rooms: N/A
  • Area: 1600sqm
Maelezo ya Nyumba: Imejengwa kwenye kiwanja kikubwa chenye nafasi ya kutosha. Ina garden kubwa na ya kuvutia. Mazingira mazuri, tulivu na salama kwa makazi ya familia. Eneo linafikika kwa urahisi, barabara nzuri. Umeme na maji vinapatikana kwa uhakika, Nafasi ya kutosha kwa maegesho ya magari, Ni nyumba inayofaa kwa makazi ya kifahari au uwekezaji wa muda mrefu., Kwa mawasiliano zaidi au kupanga kuja kuangalia nyumba, wasiliana nasi moja kwa moja.


Similar Products

For Sale
NYUMBA KUBWA YA KISASA

Dar es salaam, Mikocheni B


Tsh BIL 1.157
For Sale
NYUMBA 5 ZINAUZWA

Dar es salaam, Mikocheni


Tsh BIL 3.328
For Sale
NYUMBA INAUZWA SALASALA

Dar es salaam , Salasala


Tsh M 350