Product

NYUMBA 5 ZINAUZWA

BIL 3.328Tsh
No. 4
  • Rooms: N/A
  • Area: N/A
Zinauzwa nyumba za kisasa zilizopo Mikocheni – eneo la Kwa Warioba. Nyumba hizo zipo tano (5) ndani ya kiwanja kimoja (compound moja), zikiwa katika mazingira tulivu na salama. Eneo hili linajulikana kwa hadhi ya juu, miundombinu mizuri na upatikanaji rahisi wa huduma muhimu kama shule, hospitali, maduka na barabara kuu. Bei ya kuuza ni Dola za Kimarekani Milioni 1.3 (USD 1,300,000) kwa mali yote. Ni fursa nzuri kwa uwekezaji au matumizi ya makazi. Kwa maelezo zaidi au kupanga miadi ya kutembelea, wasiliana nasi.


Similar Products

For Sale
NYUMBA KUBWA YA KISASA

Dar es salaam, Mikocheni B


Tsh BIL 1.157
For Sale
NYUMBA KUBWA INAUZWA

Dar es salaam,Salasala


Tsh BIL 1.3
For Sale
NYUMBA INAUZWA SALASALA

Dar es salaam , Salasala


Tsh M 350